Babu avuruga Ndoa.!

Babu avuruga Ndoa.!

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
*NDOA INAFUNGWA KANISANI*

*Mchungaji akauliza* *"Yeyote Mwenye pingamizi na Ndoa hii aje mbelee"...*

*Kibabu kimoja kikasimama kwenda mbele..* *Bi harusi Akazimia Ghafla

-Mchungaji:-Twambie Mzee* ..

*Mzee:-Nimeamua kuja mbele kule nyuma Sisikii vizuri*
*Watu:- Aaaaaaaaaaahhh Babuu Jamani*

_*Babu hatakagi ujinga kabisa*_
 
Kasema nyuma hasiki.....kaja kusikilizia MBELE.....Bi harusi atakuwa anamfahamu huyu babu...ngoja azinduke atupe MAJIBU..
 
Back
Top Bottom