Babu Evander Holyfield kupanda ulingoni Desemba

Babu Evander Holyfield kupanda ulingoni Desemba

Kipanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
676
Reaction score
38
Bondia aliyetamba katika ngumi za kulipwa uzito wa juu (Heavy Weight) duniani Evander Holyfield anategemewa kupanda ulingoni mwezi wa Desemba mwaka huu kupambana na bingwa wa uzito wa juu anayetambuliwa na WBC kutoka nchini Ujerumani Nicole. Evander atakuwa akitimiza umri wa miaka 46 siku atakayopambana na mpinzani wake.....Jamaa ananikumbusha siku alipopambana na Tyson akanga'atwa sikio!!!
 
Somebody should tell this guy to hang it up.....

Hawezi kuhang it up! Atawafunga kamba gani macreditors wake. Mortgage ya ile mension sio mchezo. Plus child support kibao. Then kuna IRS.

He is one of those pathetic celebrities....walivyokuwa on top wamejirusha, sasa hawana hata hela ya kubadilisha mboga. Gademu!
 
Back
Top Bottom