Babu kaniambia niwe na wachumba wanne ndipo nichague mmoja kuwa mke

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nilikuwa nimetoka matembezini Niko na mdada goma langu sasa Nikakuta sehemu babu yangu amekaa nikamwambia Babu huyu niliye naye ndo mchumba nitamuoa nataka nitume mahari.

Baadae jioni babu akaja kuniambia kuwa ninakosea kwamba kiwango cha wachumba unachopaswa kuwa nao ni wanne ndo uchague mmoja.

Sio unampenda tu mtu njiani tayari ushamtamkia ndoa unatulia kwanza hata mwaka unawafanyia assessment baadae baada ya uchunguzi unakuja na jibu Moja Nani anafaa.
 
Mitano tena kwa babu 😜
 
Sasa jifanye wee lizungu ukawa na kidemu kimoja ndyo ukifanye mke,,,,utasotaa akiamama na utarudi hapa kuleta mrejesho wa vilio na kuomba ushaur, na ushaur wetu utakuwa kukureview hii thread ya leo ambayo unapuuza mashaur yetu na ya mzee wako, ambaye ni sawa na Muona mbele wa maisha yako[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom