Hi beautiful...[emoji255][emoji177][emoji177][emoji255][emoji4][emoji4]
Loliondo ni eneo la Tanzania linalomaanisha 'kutaifishwa'?
'in drones' ama 'in droves'??I repeat Kenyans came in drones
Typo meant droves!'in drones' ama 'in droves'??
No road was constructed fool, njoo na urongo mwingine.Kenyans didn't construct a road to Babu wa Loliondo's gate, so that people could access his 'magic' with ease. This man and his fellow 'wise experts' in the government of that era did.
No road was constructed fool, njoo na urongo mwingine.
[emoji23] duh, sikujua. But kama ilisababisha hadi wakawekewa lami na babu akajipigia hela, ni jambo jema, walokufa hawakufuata ushauri wa daktari.Fool ndio jina lako la pili. Magufuli, ambaye alikuwa waziri wa ujenzi wakati huo, aliagiza wizara yake itoe shilingi bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa barabara hadi Samunge. Baada ya kunywa kikombe. [emoji1][emoji1][emoji1] Hicho kikombe cha babu lazima kilikuwa na tot za konyagi. Hahaa!Magufuli apeleka Sh1bn Loliondo, apata kikombe cha babu - JamiiForums
Magufuli apeleka Sh1bn Loliondo Neville Meena na Mussa Juma, Samunge; WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana aliingia katika Kijijini Samunge kwa mchungaji Ambilikile Masapila na kupata kikombe cha dawa, kisha kutangaza neema ya kujengwa kwa barabara kuu inayoingia kijijini hapo...www.jamiiforums.com