Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

DreezyD98

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2020
Posts
1,610
Reaction score
2,874
Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo.

Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Jackson Mwakagonda amedai tukio hilo limetokea Oktoba 10, 2022 saa 8 mchana katika Kata ya Ndembezi.

Kamanda Mwakagonda amedai mtuhumiwa huyo alimrubuni mhanga kwa kumpa Sh10, 000 na kumfanyia ukatili huo.
 
Hawa watoto nao wanatakaga kujua utamu tunaopata pale dyudyu inapotua Panapo. Hii adhabu ingekuwa kwa pande zote mbili ndo ingekuwa tamu
 
Back
Top Bottom