Babu Mwasapile na kikombe cha Corona

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
2,929
Reaction score
3,710
Hivi wadau nimejaribu kuwaza....mara paap babu Mwasapile kaibuka na kikombe cha Corona ni vipi tutaachia wagonjwa kutoka China na nchi nyingine waathirika wamiminike nchini tupige bingo la utalii wa matibabu au tutaacha babu na kikombe chake aende nchi itakayokuwa tayari kumuhifadhi atoe huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawazania ngozi nyeupe inaamini upuuzi kama blacks Mwamposa tu kawauwa kisa mnazani mafuta yanabadilisha maisha ya umaskini wa mbongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…