Babu nioe au nizae tu?

Babu nioe au nizae tu?

Mbona kama sielewi yaani aoe au abadilike awe upinde?? Sijui sijasoma vizuri ama unechanganya kuandika
 
Wenye akili ndo wanaoweza kuwamudu wake zao! Kama huna akili pita kushoto ya kitu kinaitwa mwanamke! Hila watu kama mimi hapa niko na chombo matata pembeni kinaning'ang'ania hakiwezi kusinzia bila kugusanisha mwili, walau hata kwa kunishika tu! Hadi raha!
Ndoa sio kipimo cha akili. Achaneni na hayo mawazo yaliyopitwa na wakati.
 
Wenye akili ndo wanaoweza kuwamudu wake zao! Kama huna akili pita kushoto ya kitu kinaitwa mwanamke! Hila watu kama mimi hapa niko na chombo matata pembeni kinaning'ang'ania hakiwezi kusinzia bila kugusanisha mwili, walau hata kwa kunishika tu! Hadi raha!
Sema ukiwa mjinga mjinga kuwavumilia wakina bartazal
 
Tena mawazo ya kijima kabisa.
Kwa sasa kuitetea ndoa inabidi ujizime data kwanza, maana yanayoendelea kwenye jamii kila siku yanazidi kuthibitisha kwamba ndoa ni taasisi ambayo imepitwa na wakati.

Narratives zote tulizoaminishwa kuhusu ndoa, kwamba ni pingu za maisha, kiapo cha uaminifu na kuvumiliana kwenye shida na raha ni za uongo.

Kataa ndoa wana hoja za msingi zaidi ukilingamisha na hawa watetezi wa ndoa ambao hawana hoja, wao ni vitisho na dhiaka tu
 
Wenye akili ndo wanaoweza kuwamudu wake zao! Kama huna akili pita kushoto ya kitu kinaitwa mwanamke! Hila watu kama mimi hapa niko na chombo matata pembeni kinaning'ang'ania hakiwezi kusinzia bila kugusanisha mwili, walau hata kwa kunishika tu! Hadi raha!
sawa
 
Kwa sasa kuitetea ndoa inabidi ujizime data kwanza, maana yanayoendelea kwenye jamii kila siku yanazidi kuthibitisha kwamba ndoa ni taasisi ambayo imepitwa na wakati.

Narratives zote tulizoaminishwa kuhusu ndoa, kwamba ni pingu za maisha, kiapo cha uaminifu na kuvumiliana kwenye shida na raha ni za uongo.

Kataa ndoa wana hoja za msingi zaidi ukilingamisha na hawa watetezi wa ndoa ambao hawana hoja, wao ni vitisho na dhiaka tu
asante kwa maoni
 
Back
Top Bottom