Babu nioe au nizae tu?

Mbona kama sielewi yaani aoe au abadilike awe upinde?? Sijui sijasoma vizuri ama unechanganya kuandika
 
Ndoa sio kipimo cha akili. Achaneni na hayo mawazo yaliyopitwa na wakati.
 
Sema ukiwa mjinga mjinga kuwavumilia wakina bartazal
 
Tena mawazo ya kijima kabisa.
Kwa sasa kuitetea ndoa inabidi ujizime data kwanza, maana yanayoendelea kwenye jamii kila siku yanazidi kuthibitisha kwamba ndoa ni taasisi ambayo imepitwa na wakati.

Narratives zote tulizoaminishwa kuhusu ndoa, kwamba ni pingu za maisha, kiapo cha uaminifu na kuvumiliana kwenye shida na raha ni za uongo.

Kataa ndoa wana hoja za msingi zaidi ukilingamisha na hawa watetezi wa ndoa ambao hawana hoja, wao ni vitisho na dhiaka tu
 
sawa
 
asante kwa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…