Elections 2010 Babu seya atapiga kura?

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
Naomba kuuliza suala la babu seya.mawakili waliojitokeza kumtetea wako wapi?na hivi alifanya nini vile?
 
ahaaaaaaaaaaaaaaaaa watu bwana mnamchimba chimba mkwere ahaaaaaaaaaa .Ila alifanya noma sana hii kitu ku plant mtu achiite babu seya kisha kumtia adui yake mikononi mwa sheria .
 
Kulikuwa na utaratibu wa wafungwa kupiga kula. Babu Seya anaweza kupiga kula mwaka huu,ila anaelekea kuzuri maana baada ya rais kuapishwa mwakani Seya anaweza kurudi 'Tanzania Huru' kwa tiketi ya msamaha wa rais!
 
Nadhani kilio chake ndio kinamfanya prezidee network inakatika hovyo
 
mbona heading na ulichoeleza vyote vimeachana?...........ulimaanisha heading kweli au kingine tofauti au jazba?
Naomba kuuliza suala la babu seya.mawakili waliojitokeza kumtetea wako wapi?na hivi alifanya nini vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…