Ukisoma mwenendo wa kesi, watoto hata kama walipangwa, kuna baadhi ya taarifa wanatoa zinafanana sana hasa wakieleza chumba walipokuwa wanafanyiwa huo uhuni.Hii kesi ina kasumba nyingi sana nilitaka kujua kama ni kweli au ni michezo tu na kwanini magu amtoe hadharan
Hii kesi ni ngumu sana.Ukisoma mwenendo wa kesi, watoto hata kama walipangwa, kuna baadhi ya taarifa wanatoa zinafanana sana hasa wakieleza chumba walipokuwa wanafanyiwa huo uhuni.
Walipakwa mafuta kwa vaginal, anus na walipelekewa moto. Baadhi walikutwa na gonorrhea. Halafu walilazimishwa kuinyonya dushe, malipo ukipewa nyingi nimeona ni 400/- tu.
Ngumu kusema kuwa walisingiziwa