Babu Seya Out?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Babu Seya out?
Babu Seya leo kutolewa?
Leo jopo la majaji linakaa kupitia na kutoa maamuzi juu ya hukumu na rufaa aliyoikata Babu Seya Nguza Viking na mwanae Papii kocha!
Tusubiri tutawajuza
 
tumechoka na mambo za babu seya kila siku mnasema wameachiwa. vuten subira ndio mlete habari
 
Daaah Mungu mwenye huruma.....nakuomba unyooshe mkono wako mkuu juu ya watu wako hao maana wanateseka sana!!!
 
Wanamtumia babu seya kuzima scandal zao za ufisadi. Wakiona wanajadiliwa sana,wanatutangazia kuhusu babu seya kukata rufaa ili tusahau na kufuatilizia kuhusu babu seya.
 
Babu Seya out? Babu Seya leo kutolewa? Leo jopo la majaji linakaa kupitia na kutoa maamuzi juu ya hukumu na rufaa aliyoikata Babu Seya Nguza Viking na mwanae Papii kocha! Tusubiri tutawajuza

Natumai wamejifunza...Mungu ndiye ajuaye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…