MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hii kesi imejaa utata mtupu,, keso moja inakuwaje wengine wafungwe na wengine watoke
naomba kuwasilisha ombi la kupatiwa taarifa ya kinachoendelea kwa rufaa ya kesi ya babu seya na wanae huko mmahakamani , kwa aliyepo tafadhali tupashe habario.
With regards and respect.
Naomba kuuliza kuanzia hapa sasa uhusiano wetu na kongo itakuwaje au walishakana uraia hawa watu
Mahakamani hakuna haki ni Nani mjuzi zaidi wa sheria wala duniani hakuna haki.Dah kwa maana hiyo haki imetendeka
mfano yule Francis si alikuwa anasoma au? maana nakumbuka wakati anafungwa he was only 17 yrs kama sikosei
umesikitika nn? kuachiwa au kufungwa maisha?
unaujua undani wa issue yenyewe?
Tuhuma za kulawiti watoto bana......kama kweli mm naona wapewe maisha, na viboko 10 kila siku!
Mahakamani hakuna haki ni Nani mjuzi zaidi wa sheria wala duniani hakuna haki.
HAKI ipo kwa MUNGU peke yake(kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake)
Hii kesi imejaa utata mtupu,, keso moja inakuwaje wengine wafungwe na wengine watoke
hivi mnasikitikia wabakaji? tuna tatizo ewe Yehova.!!
Una uhakika gani kuwa ni wabakaji? Hebu tufafanulie plz.Justifications!hivi mnasikitikia wabakaji? tuna tatizo ewe Yehova.!!
nimesikitika......
nilikumis 'Nyamanyao' dear!!!
Yap alikuwa kidato cha pili! Na wale watoto sasa watakuwa form one ama darasa la saba na hadi form 2!
Nani awalipe? Serikali ama wale wazazi?
Inasikitisha lakini bado sijaujua undani wa tuhuma zenyewe!
hoooo dearest, nimerudi kwa nguvu mpya.
nawaomba wadau katika hili tusiendeshwe na hisia za huruma na mapenzi kwa wanamuziki na familia ya nguza na papii kocha...kama tunaamini kuwa MAHAKAMANI ndiko haki iliko na hutendeka...basi si busara kuweka hisia zetu juu ya haki...
Wapi zombe leo??..je sio mahakama iliyotenda haki kumwachia huru???...fransis nguza na mdogo/kaka yake wapo wapi leo...sio mahakama ilotenda haki kuwaweka huru??...je kwanini tuongozwe na hisia kulalamikia wapendwa wetu wawekwe huru hata kama mahakama imewaona na hatia???
NAOMBA WANA JF TUONYESHE UKOMAVU WA MAWAZO NA FIKRA ZETU PIA KATIKA HILI LA UTENDAJI WA MAHAKAMA ...CHOMBO PEKEE DUNIANI KOTE KINACHOAMINIKA KWA KUTENDA HAKI NA MAAMUZI SAHIHII...
ni maoni tuu..

Una uhakika gani kuwa ni wabakaji? Hebu tufafanulie plz.Justifications!
Una uhakika gani kuwa ni wabakaji? Hebu tufafanulie plz.Justifications!
Mahakama imeamua, na hiyo ndiyo mahakama yetu ya mwisho. Thats settles it.