BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Ndugu watanzania,
Redio kadhaa na magazeti zimetuambia tar 30 Oct wana review tena kesi ya Babu Seya na wanae waliofungwa maisha milele kwa kubaka.
Tukisubiri usanii tena wa serikali yetu,tujiulize mimi na wewe je kweli walibaka ?
Tusubiri october 30.
Member's Input:
Redio kadhaa na magazeti zimetuambia tar 30 Oct wana review tena kesi ya Babu Seya na wanae waliofungwa maisha milele kwa kubaka.
Tukisubiri usanii tena wa serikali yetu,tujiulize mimi na wewe je kweli walibaka ?
Tusubiri october 30.
Member's Input:
Mkuu hivi punde nimepewa soft copy ya hukumu ya Addy Lyamuya PRM na High Court appeal decision of Judge T.B. Mihayo kama nilivyo-attach hapo chini.
Wakati hakimu alipotoa hukumu yale mwana 2003, I took the case just as another case.
Lakini kadri muda unavyosonga mbele, kesi hii inazidi kuvutia umma.
Pia there is a lot of emotions from both parties of the argument hasa hapa JF.
Due to our adversarial system, ni vigumu sana kujua which side was saying the truth before the court.
Hata hivyo, hizi huku zitatusaidia kusoma ushahidi ulioletwa mahakamani na pande zote mbili na muhimu zaidi kufanya analysis ya huo ushahidi na maamuzi yaliyofikiwa na mahakama.
Itabidi nitafute muda nikae chini ili niweze kusoma in detail hukumu hizi mbili.
Kama kuna ambaye ana soft copy ya uamuzi wa Mahakama ya Rufaa atuwekee hapa please.
File: Nguza-Vicking-High-Court Document
File: Nguza-Vicking-RMs-Court document