Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Ndugu watanzania,

Redio kadhaa na magazeti zimetuambia tar 30 Oct wana review tena kesi ya Babu Seya na wanae waliofungwa maisha milele kwa kubaka.

Tukisubiri usanii tena wa serikali yetu,tujiulize mimi na wewe je kweli walibaka ?

Tusubiri october 30.

Member's Input:
 
tunasikia babu seya alimla mama yake nanihii halafu baba yake nanihii akapata habari,si unajua tena wakongo walivyo wabaya??haaahaahaaa,,,,hayo mambo ya kubaka hatujui

haahaaa tusubiiri tume ya kutuhakikishia kweli alib...
 

Hii kesi hii itamjambia babaake na nanihii...! Nguza alikamua demu wa mtu jamaa akashangaa yeye akiwa anakamua mwanamama anaimba "seya wa mivalo" jamaa akaona isiwe taabu.. kwa hasira hata panya hakubaki...
 

'wanaandaa andaa mazingira ya 2015 mkuu si unajua tena 13 ndo inaishia ishia hivyo..................ngoja tusubiri tuone watakachokuja nacho asee'
 
mie mpaka kesho huwa siamini km bb na wanae wanaweza kufanya hivyo
 
Tusubiri tuone Matokeo ya hiyo Kesi!
 
Ni chain ya wahusika wengi wakiwamo madaktari walopima "uongo" na hakimu/ jaji alohukumu "kwa kushinikizwa".

Kubwa ni ugomvi wake na "mukuru" walipogombea mwanamke, jamaa alipoona anazidiwa kete akaamua kuiteketeza familia nzima!!!!!!

Hakuna ubakaji wala nini hapo. Tafuta hao watoto uone kama kweli walibakwa!!!!!!!
 
Wakongo noma wana dawa flani hv ya magome wanakula akisimama juu ya kifua nomaa lisaa hajashusha wazungu,ninayo nauza inaitwa kassongo7.

Cc: Madame B


.
.
.
na ipo ya kimasai pia inaitwa "mkuyati" hii ni ya kwaida tu ila ukitaka kukomoa kuna moja inaitwa "kiboko ya paulina" ni balaa tupu
 
mie mpaka kesho huwa siamini km bb na wanae wanaweza kufanya hivyo

Mwenyekiti alishindwa kuhimili ushindani wa kimapenzi akaamua kutumia cheo chake kama dhamana ya matakwa yake.. na ana visasi na wivu wa mapenzi kama NYEGERE..
c.c Preta , Nivea..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…