nimeota babu SEYA na watoto wake mashinda kesi......ndoto hii bwana.
Hivi siku hiyo hawajamaa ikatokea wakaachiwa, halafu wakapanda jukwaani kutumbuiza, Diamondi Jubilee hakutatosha , labda show ifanyike shamba la bibi pale uwanja wa UHURU. NAWATAKIA KILA LA HERI HAWA JAMAA WATOKE JELA. ADHABU IMEWATOSHA, WAMEJIFUNZA MENGI IMEKUA SOMO KWA KILA MTU. PAPII KOCHA NAKUMISS MDOGO WANGU.
kweli inasisimua kufikiria, maana kama matarajio yangekua ni kitu Halisi, wangeiachia huru hii familia , burudani inawamiss hawa watu, na watu wanaimiss hii familia, FM academia ndio usiseme.dahhhhh papiiiiii kocha.nakumisss sana FM akademia sipati picha ukitoka jinsi rap ya FM akademia itakavonoga
Inabidi umtembelee mnajimu akutafsirie hiyo ndoto yako.
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].
Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed case report at the lower courts on this case?
Mimi kama mwanasheria wa Tumaini University Kulingana na Criminal Procedure Code ( Mwennendo wa Mkosa ya Jinai)
Kuna kukata Rufaa ndani ya Muda na Kesi yoyote ikifika mahakama ya Rufaa kwa ajiri ya Rufaa kutoka mahakama kuu inaWEZA KUSIKILIZWA KAMA MDEA TANGU ILE NAKARA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU HAUJAISHA
MIMI SIDHANIN KAMA WATASIKILIZWA KWA SABABABU YA KUKATA RUFAA NJE YA MUDA
Mimi kama mwanasheria wa Tumaini University Kulingana na Criminal Procedure Code ( Mwennendo wa Mkosa ya Jinai)
Kuna kukata Rufaa ndani ya Muda na Kesi yoyote ikifika mahakama ya Rufaa kwa ajiri ya Rufaa kutoka mahakama kuu inaWEZA KUSIKILIZWA KAMA MDEA TANGU ILE NAKARA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU HAUJAISHA
MIMI SIDHANIN KAMA WATASIKILIZWA KWA SABABABU YA KUKATA RUFAA NJE YA MUDA
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].
Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed, case report at the lower courts on this case?
Hivi kuna upatikanaji wa haki Tanzania siku hizi?Sabi mbona sikuelewi?
Watanzania wangapi walio jela? Kwanini kina Nguza? Una udugu nao?
Assume ni kweli walifanya kilichosemwa kuwa wamekifanya, assume pia kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanao na rafiki yako akawa anamwomba rais amwachie mtu aliyemfanyia hivyo mwanao, wewe utajisikiaje?
Si kesi inasikilizwa Novemba 30 mwaka huu? Mbona mnapenda kuingilia kazi za mahakama? Naamini haki itapatikana, kama hawakuhusika wataachiwa huru na natumaini wataomba kulipwa fidia.
Hivi kuna upatikanaji wa haki Tanzania siku hizi?
tunakuomba sana umsamehee kwani wameisha teseka kupita kiasi