Babu Tale afikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande...

Alijiamini sana alimchukulia huyo sheikh boyaa tu!haya kapelekwa lupangooo .....
Ukiwa na Kesi usichukulie poa

Ova
 
Nimeamini watu hutumiana..Diamond na wasaniii wenzake wapo tuliii kama vile hawamjui Babu Tale, wanapost show za Harmonize tu.
sasa shauri lipo mahakamani unataka wafanyeje? washinde wanalia mitandaoni? hicho wanachopost huko ndicho kinaleta pesa in case wakisema wamchangie babu tale

finally hafungwi mtu na mambo watamalizana yataisha
 
Nimeamini watu hutumiana..Diamond na wasaniii wenzake wapo tuliii kama vile hawamjui Babu Tale, wanapost show za Harmonize tu.
Wewe unajua kinachoendelea nyuma ya pazia. WCB ni kampuni, huwezi simamisha shughuli za kampuni kisa mmoja wao amepata matatizo.
 
Dah,
Ila alisemaga eti ile kampuni yao Kaka yake ambae ni Marehemu ndie aliezipiga zile hela, sio yeye.
kwahiyo kwa mujibu huo " shekhe atakuwa ana msingizia " yaani shekhe hajui kutofautisha kati ya tale na kaka yake "" haya kama hivyo ndivyo" na mahakama nayo vipi inamuonea au"" mkuu refer kuwa shekhe amesema kuwa alilipwa ml.2 tu na kanzu " means huyu mtu hali yake ya kimaisha ilikuwa ni ya hohe hahe ...nachotaka kusema hapa nikuwa ukiona masikini ameshinda kesi mahakamani basi tambua kuwa hiyo hukumu ilikuwa ni ya haki "" maana yeye hana uwezo wa kuhonga ""watu ili wawe upande wake
 
Dah,
Ila alisemaga eti ile kampuni yao Kaka yake ambae ni Marehemu ndie aliezipiga zile hela, sio yeye.
kanuni ya wizi ...huwa inamtaka mwizi kukana kuwa yeye sio mwizi hata kama itakuwa mwizi huyo amekutwa na kithibitisho""
 
Yaani Sheikh aliongea na Kampuni ambayo Tale wawili ndio mameneja/wakurugenzi.
So Babu Tale anawajibika tu sababu ye ni Mkurugenzi mwenza. lakini Specific Person alieongea na Sheikh ni Marehemu kaka yake babu Tale.

Huu ndio utetezi wa Babu Tale
 
lakini " utetezi huo " haujajitosheleza mbele ya mahakama na kumfanya asifikwe na hatia....""kama ungekuwa ni utetezi wenye mantiki basi tale angeachwa salama
 
Yaani Sheikh aliongea na Kampuni ambayo Tale wawili ndio mameneja/wakurugenzi.
So Babu Tale anawajibika tu sababu ye ni Mkurugenzi mwenza. lakini Specific Person alieongea na Sheikh ni Marehemu kaka yake babu Tale.

Huu ndio utetezi wa Babu Tale
Vitu hivi kaka vya partnership inabidi, uwe makini sana, jamaa sasa inabidi amwite Sheikh chobingo. Ila huyo Sheikh komoa mil 250, kadanganya hao akina Sir nature nakupendwa kwao kote lkn mauzo yao hayajawahi kufika hata robo ya ela anayoitaji Sheikh. Tatizo mziki wa Tanzania hauna mfumo unaoeleweka, kama tungekuwa na mfumo wa mauzo nina uhakika Babutale ela ambayo angetakiwa kulipa haizidi mil 20.
 
Yaani Sheikh aliongea na Kampuni ambayo Tale wawili ndio mameneja/wakurugenzi.
So Babu Tale anawajibika tu sababu ye ni Mkurugenzi mwenza. lakini Specific Person alieongea na Sheikh ni Marehemu kaka yake babu Tale.

Huu ndio utetezi wa Babu Tale
Nimekulewa ..mkuu" sasa hapo tale " anapaswa kumlipa hizo pesa kwa sababu yeye mwenyew pia nisehemu ya hiyo kampuni"" kwamba kaka alikuwa na Mawazo na bila shaka aliyawasilisha kwa mkurugenzi mwenza...na tale kama sehemu ya office bila shaka baada ya kuambiwa na mkurugenzi mwenzake kuwa kuna Mona mbili tatu " kimsingi aliona kuwa hilo jambo linafaida ndio maana wakalipitisha"" na wakafanikiwa kufanya biashara "" so bado anatuhuma za kujibu ..hakwepi hapo
 
Tena hapo alianzia 700mil ndio wakamshusha mpaka hiyo 250mil,
Sema huyu Babu Tale kawa jeuri maana ilitakiwa tu amfuate Sheikh amuombe wamalizane chobingo, ye akatumia ujeuri.
 
Ndio hivyo mkuu"" hahaa Jamaa kaamua kutembelea fursa"" ......alichokifanya yeye ni malipizi ya kumwaga ugali baada ya kina tale kumwaga mboga....halafu vitu vingine hivi vinasababishwa kuwa vikubwa na dharau ...kina tale walikuwa wanamdharau huyo SHekhe ..nakumbuka mwaka " 2015 Sudy brown alishawahi kuileta hiyo issue kwenye u heard akamuhoji yule shekhe akajieleza "" lakini baadae sudy alipompigia Simu tale " hakupatikana" Sudy akampigia madee ...basii madee aliongea shit ile mbaya ""mpaka akamuita huyo shekhe ni shekhe ubwabwa...anaweza kuwa ni shekhe ubwabwa ndio lakini hilo haliwezi kuwa sababu yakumnyima stahiki zake "" Jamaa walikuwa na muda mzuri tu wakumtafuta shekhe pembeni na kumalizana nae "" lakini ule u born town born iya iyaa...ndio ulio watafuna
 
Inawezekana ishu alikuwa kweli hajui, haya maswala kama haya kwenye kampuni za minara yanatokeaga sana, utakuta watu wanachukua kazi bila kuwataaribu mabosi, matokeo yake kazi ikiharibika inadaiwa kampuni na ktk maswala haya ya ela Kuna kuzikana, inawezekana bro hakumwambia Tale.
 
..may be " lakini kwa uzoefu wa tale alionao katika mainstream " sidhani kama alikuwa hajui kuwa " kuna hatari ipi ambayo inaweza kumtokea indapo kama hatokaa chini na kumalizana na huyo jamaa..tale anajuana na watu wengi mnoo" miongoni mwao wapo wanasheria pia"" .....na kama hakuambiwa let's think kwamba hiyo nikama ajali " imemkuta so " ili kuitatua nikuendelea" kuikwepa wakati huna uwezo huo " au kujisalimisha tu kwa muhusika na kuyamaliza ili muweze " kuzuia effect kubwa zaidi zitakazo kuja kujitokeza...?? maana hiyo kesi inazaidi ya miaka 2 mkuu""
 
Aliambiwa asijali dad is coming.
 
Inawezekana labda kutokujua kwake, kulimfanya kuwa na kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…