C chaArusha Member Joined Mar 24, 2011 Posts 88 Reaction score 31 Apr 3, 2017 #2 Haaa haaa haaaa, duh, yaani sawa sawa na Harmorapa afunguke kuhusu bifu lake na Diamond!! Kiki watafute kwa kuangalia na size, siyo kiki bora kiki, sasa kama yeye ana bifu na Shigongo, na huyo bosi wake Ruge Mutahaba asemeje?
Haaa haaa haaaa, duh, yaani sawa sawa na Harmorapa afunguke kuhusu bifu lake na Diamond!! Kiki watafute kwa kuangalia na size, siyo kiki bora kiki, sasa kama yeye ana bifu na Shigongo, na huyo bosi wake Ruge Mutahaba asemeje?
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Apr 3, 2017 #3 Ajasema kuwa Shigongo anapumuliwa? Maana hiyo ndio style yao ya kujitetea siku hizi.
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,587 Apr 7, 2017 #4 mzaramo said: Ajasema kuwa Shigongo anapumuliwa? Maana hiyo ndio style yao ya kujitetea siku hizi. Click to expand... Hahahahaha iyo ishakuwa yeboyebo
mzaramo said: Ajasema kuwa Shigongo anapumuliwa? Maana hiyo ndio style yao ya kujitetea siku hizi. Click to expand... Hahahahaha iyo ishakuwa yeboyebo