Babu Tale anamaanisha kuhusu Diamond Platinum?

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,563
Hali ya yote natanguliza samahani kwa leo kugeuka 'mwanaume wa Darisalama',ni kwa leo tu jamani, siku nyingine sitakuwa 'mwanaume wa Darisalama'(natania tu jamani).Tuje kwenye mada sasa,kilichonisukuma kutaka kudadisi juu ya Diamond ni kufuatia kauli ya Babu Tale kwamba pamoja na kutaka kumsaidia Chid Benz...pia aliwahi kumsaidia Diamond kipindi cha nyuma japo ilikuwa siri sana,

Je alimsaidia Diamond kuhusiana na nini hasa?Maana matatizo ya Chid Benz kila mtu anayajua.Msiniulize zaidi kwamba nahisi Babu Tale alimsaidia Diamond kivipi maana mimi mwenyewe sijui.Nimelazimika kuileta hii mada tujadiliane kwa heshima na adabu baada ya mimi leo kusikiliza mahojiano kati ya Babu Tale na Sam Misago katika kipindi cha E-NEWS.
Ciaooooooo!

============
 
mkuu hukumuelewa vizuri tale. alimaanisha Diamond aliwahi kumsaidia chidi benzi kuhusiana na madawa hayo hayo na chidi alipelekwa hospitali na kupima damu na vipimo kibao na dozi akaanza baadae chidi akapona akaacha dozi akarudia madawa ndo saivi tumemuona tena chidi bajaji na muonekano mpya wa kiteja.

so babu tale ni mtu wa pili tena kumsaidia chidi

Diamond hajawahi vuta ngada ila mitumba kauza sana tu
 
Poa
 
Hili swala la wanaume wa Dar es salaam limeshamiri sana humu, swali, sasa wanaume wa Tabora mnafuata nini humu, jukwaa lenu la kilimo si lipo kule juu?
I like this.
 
Kuna jamaa lilimhamishia mombasa babu tale akamfuata
 
Hii hapa habari yenyewe mleta mada hebu isome kwa umakini na uielewe.
 
Hili swala la wanaume wa Dar es salaam limeshamiri sana humu, swali, sasa wanaume wa Tabora mnafuata nini humu, jukwaa lenu la kilimo si lipo kule juu?
Teh Teh Wanaume wa tabora..
 
Mnatudhalilisha Wanaume wa Dsm!


uwakute wakijishebedua ooohh mi silagi chakula flan bila nazi, amekomalia gazeti la sani,ijumaa, risasi na midevu yao hutaamini,

wengi wanao lalamikia wanawake humu ni wa hapo town(NATANIA)
 
uwakute wakijishebedua ooohh mi silagi chakula flan bila nazi, amekomalia gazeti la sani,ijumaa, risasi na midevu yao hutaamini,

wengi wanao lalamikia wanawake humu ni wa hapo town(NATANIA)
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa! Usinichekeshe MwaJay, nimenuniwa Leo Na Mimi Ndio naanza mazoezi ya kuuvuta mdomo ili jioni tukikutana twende sawa! Lala huko nilale Huku!
 
Chidi Benz kwa music tena ndio baaaaas hawez kuamka tena wakogwe wapo hawavuti unga lkn kimzk wamepotea...hatuwasikii japo wanajtahd kutoa ngoma
Apone na kuacha unga atarud na kuwa km Ray C..kaacha ila mzk umemshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…