Babu Tale anamaanisha kuhusu Diamond Platinum?

Hili swala la wanaume wa Dar es salaam limeshamiri sana humu, swali, sasa wanaume wa Tabora mnafuata nini humu, jukwaa lenu la kilimo si lipo kule juu?
Wambie mkuu
 
Mtoa mada pole kwa umbea na upashkuna, umeumbuka
 
Hakuna jinsi ya kuitoa damu "yote" yenye madawa ya kulevya na kuiweka "nyingine" hao wenye hiyo taarifa watuambie huo utaalamu wa kutoa damu na kuweka nyingine upo kwenye Hospitali gani!?
 
ngoja wanaume wa mikoani tunyamaze,hili ni lenu wanadarisalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…