kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
YeahLets wait
daaaahHuyo rommy Jons anaoa au anaolewa??
Nahisi anaolewaHuyo rommy Jons anaoa au anaolewa??
tuheshimianeNahisi anaolewa
Kivip tn mkuutuheshimiane
huyo mchiz hata mi simsomagi kabisa kama wali nazi hivi haelewekiHuyo rommy Jons anaoa au anaolewa??
Muite getto uthibitishehuyo mchiz hata mi simsomagi kabisa kama wali nazi hivi haeleweki
kaka nawewe ni wali nazi bila shaka vyuma vimekaza lazima mjitokeze kwa wingi sana msiwe na shaka sisi kazi yetu kuwapaka mafuta tuMuite getto uthibitishe
Mpe tako mkuu alafu ulete mrejeshohuyo mchiz hata mi simsomagi kabisa kama wali nazi hivi haeleweki
Povukaka nawewe ni wali nazi bila shaka vyuma vimekaza lazima mjitokeze kwa wingi sana msiwe na shaka sisi kazi yetu kuwapaka mafuta tu
Kayathibitisha hayo kwenye sherehe ya harusi ya Rommy Jons ambaye ni official dj wa Diamond. Babu Tale kauambia umma kupitia sherehe hiyo kuwa harusi ya Diamond na Zari ndo inayofuata baada ya majuma mawili kupita.
Kama aliyoyasema babu Tale ni ya kweli basi nawatakia maandalizi mema ya harusi yenu. But kwenye ukweli lazima niseme Diamond una moyo wa kiume na unafaa kuigwa na jamii kwa mzigo ulojitishwa, coz baada ya miaka kama mitano ijayo mke wako mtarajiwa anaingia menopause huku wewe ukiwa bado kinda kabisa najaribu tu kukukimbusha, but yote kwa yote waswahili wanasema, kipendacho roho.
Kila la kheri bwana mkubwa Naseeb na mpenzi wako kipenzi Zari.
Anakuwa tyar ni mhengaHebu nambie kwani akiingia menopause ndio inakuwaje? hawezi kugegedwa tena? kama ni watoto nadhani wanamtosha
Anakuwa tyar ni mhenga