Babu Tale athibitisha kuwa baada ya wiki mbili Zari na Diamond watafunga ndoa

Dimond akijaribu kumuoa zari ndo utakua mwisho wake, siku akienda kufile divorce ndo atajua huyu demu akili mingi!
 
Akina Hamisa si wapoo,huyo Zari akipose atasaidiwa na hivi dini inamruhusu basii hakuna tatizo hapo,.yy atabaki na heshma yake tuu ya kuwa mke mkubwa/wakwanza.
 
maneno yake ni ngumu kuyaamini maana wakati anaongea kama utamuangalia vizuri Tale ni kana kwamba alikuwa amelewa kidogo...so, was liquor speaking through him.
 
Ng'ombe hazeeki maini. Zari ajue kuwa drama za michepuko itakuwa kama kawa.
Anasahau mwenzie alisema dini inamruhusu kuoa zaidi ya wake wanne. Anajipa pressure ya bure. Asili ya mtu ni asili ya mtu haiwezi kubadilika. Mondi ni mchafuzi sijui hajalitambua hilo?
 
Huyo rommy Jons anaoa au anaolewa??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee dhaaaa
 
Yan domo anaoa bibiake hv hv akiona
Dhaaa!!
 
Wanapendana hawa pamoja na majaribuni yaliyo mbele yao kila siku iendayo kwa Mungu.

 
Haikuhusuuuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…