Babu Tale athibitisha kuwa baada ya wiki mbili Zari na Diamond watafunga ndoa

Brother Mond ni mtoto wa kiislam anaruhusiwa kuoa wake 4 so Zari atakuwa bi mkubwa na kutakuwa na dogo dogo zingine 2 so usiumize kichwa mkuu....mke mkubwa SA wadogo mmoja Dar mwingine USA
 
Sawa sawa mkuu umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…