Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge Babu Tale ameandika "Mapema leo tarehe 23 Desemba, 2024, tumemaliza kilio cha muda mrefu kilichokuwa kikitokana na kukosekana kwa Gari la kubebea wagonjwa katika Kata ya Ngerengere.
Ninamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kutupenda wana Morogoro kusini mashariki.
Afya ni moja ya kipaumbele cha Serikali ya Awamu ya Sita na ni utekelezaji wa ahadi yetu ya Uchaguzi wa mwaka 2020."