Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni, Mikese na Mkulazi lakini havina vyumba vya kuhifadhia maiti hivyo kusababisha maiti kwenda kuhifadhiwa Morogoro Mjini
Ameongeza, "Sasa samahani kwa kusema hivi, Mtu anakwenda ana rest in peace lakini hapa ana-rest na stress kwasababu, tuongee ukweli, mtu umefiwa halafu bado utafute gari ya kwenda kuhifadhi maiti Mjini"
Pia soma: Bunge la 12: Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024