Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Dr. Babu Tale, hata kujenga hoja hajui masikini anajiuma uma tuMbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni, Mikese na Mkulazi lakini havina vyumba vya kuhifadhia maiti hivyo kusababisha maiti kwenda kuhifadhiwa Morogoro Mjini
Ameongeza, "Sasa samahani kwa kusema hivi, Mtu anakwenda ana rest in peace lakini hapa ana-rest na stress kwasababu, tuongee ukweli, mtu umefiwa halafu bado utafute gari ya kwenda kuhifadhi maiti Mjini"
View attachment 2967165
Katika nchi zilizostaarabika au zilizoendelea, Elimu na watu wenye Elimu kubwa Ndio mtaji Mkuu kabisa wa Serikali kwenye nchi husika, Lakini katika nchi ambazo hazijastaarabika na zenye maendeleo duni, ujinga na kuwepo kwa watu wengi wajinga wajinga Ndio imekuwa mtaji Mkuu kabisa kwa Serikali zilizopo madarakani katika nchi husika.Mwendazake alituletea wabunge wa hovyohovyo kweli, shime wananchi tutumie vizuri sanduku la kura kutuletea wabunge wenye hoja za mashiko na tija kwa maendeleo ya majimboni, wananchi wanamahitaji makubwa zaidi ya hizo hoja
Ukimtumikia freemasonry na akili zako zinageuka kuwa freemasonryMbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni, Mikese na Mkulazi lakini havina vyumba vya kuhifadhia maiti hivyo kusababisha maiti kwenda kuhifadhiwa Morogoro Mjini
Ameongeza, "Sasa samahani kwa kusema hivi, Mtu anakwenda ana rest in peace lakini hapa ana-rest na stress kwasababu, tuongee ukweli, mtu umefiwa halafu bado utafute gari ya kwenda kuhifadhi maiti Mjini"
View attachment 2967165
Wabunge wa Morogoro hakuna hata mwenye nia njema ya kuwasaidia wananchi wake.Unashindwa nini kujenga?
Si ujenge wewe jamani hata suala dogo hivi mbunge unalalamika?
Ndiyo serikali ya ccm inakazania shule nyingi za kina Kayumba maana inaelewa huko wanajifunza kuchora ramani ya AfrikaKatika nchi zilizostaarabika au zilizoendelea, Elimu na watu wenye Elimu kubwa Ndio mtaji Mkuu kabisa wa Serikali kwenye nchi husika, Lakini katika nchi ambazo hazijastaarabika na zenye maendeleo duni, ujinga na kuwepo kwa watu wengi wajinga wajinga Ndio imekuwa mtaji Mkuu kabisa kwa Serikali zilizopo madarakani katika nchi husika.
Jiwe alikuwa hovyo sana!Mwendazake alituletea wabunge wa hovyohovyo kweli, shime wananchi tutumie vizuri sanduku la kura kutuletea wabunge wenye hoja za mashiko na tija kwa maendeleo ya majimboni, wananchi wanamahitaji makubwa zaidi ya hizo hoja
Wabunge Wa Jiwe Hawa
Mbona fedha za mfuko wa jimbo zinatosha kufanya hii kazi?
Wabunge wengine sijui akil;izao zikoje! Hata hili ni la kulalamikia!