Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Najua kuna wadau humu mnaishi huko Morogoro, hebu tuambieni kila kijiji kwenye jimbo la Babu Tale kweli kina umeme?
Safi sana kazi nzuri wananchi wako wakuope mitano tena hadi 2030Wakuu,
Najua kuna wadau humu mnaishi huko Morogoro, hebu tuambieni kila kijiji kwenye jimbo la Babu Tale kweli kina umeme?
View attachment 3204199
Sasa wewe ukimuangalia huyo Babu Tale unahisi anajua hata tofauti ya anachoongea.Sera ya kila kijiji kuwa na umeme ni ya serikali ya miaka mingi kupitia REA tangu kabla ya huyo Taletale kuwa mbunge....
Mbunge kama anataka kujisifu, na ajisifu juu ya mambo ambayo sio ya kisera...