Sio kitu kigumu..tumeamua kuwa wagumu sisi wenyewe.
TANESCO/REA..
Wanafikra za kimaskini kama hao Wabunge hapo.
Weka huduma hizo kwa Wananchi,akili za watu zitabadilika kimaendeleo,nina ushahidi huo.
Kuna pahala ,Ulanga(Mahenge),Ruaha juu watu wana uwezo wa kumiliki na kulipia umeme na walitaka mpaka kujichanga waletewe umeme ni mwaka wa 5 sasa na umeme mkubwa umepita kwenda vijiji vya mbele,lakini ulikopita hakuna huduma.
Ni maamuzi,hela nyingi zinatumika ndivyo sivyo..Trillion 27 ni pesa ndogo sana kama Nchi ikiamua na kupitia umeme tu inaweza kurudi haraka sana.
Mradi tu wa mwendo kasi na SGR uliyosha kulipa hiyo pesa.