Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Kuna post moja humu imeandikwa "wabunge wa CCM 2020-2025 watakuwa na PHD, sasa kama watia nia ndo hawa duh!
Naona darasa la 7 wengii wanajitokeza kugombea mfano shishi 😀😀😀😀
 
Mbona Makonda ni marafiki sana na hii jamii Wasafi? Tena hakutajwa huyo Sallam kwenye wadau sembe wa Makonda???!!!
 
Kwani Babu Tale anagombea ubunge Morogoro mjini au vijijini?
 
Halafu kwani watu before ubunge walikuwa wanaishije?
Maana majority ni raia wa kawaida kwani hatuishi, pesa zipo na zinataftwa tu lakini when ur loved one is gone atleast Kuna kipindi, flani hivi.


Mambooo
 
maisha ni lazima yaendelee, nadhani hata marehemu angependa watu waendelee na maisha yao. Ukifa waliobaki bado wana maisha ya kuishi siyo mwisho wa kila kitu
 
Kuna post moja humu imeandikwa "wabunge wa CCM 2020-2025 watakuwa na PHD, sasa kama watia nia ndo hawa duh!
Kama PhD kwa maana ya "poor hair distribution" au "player hating degree" sawa tu. Mbona Harmonize anayo mpaka kaambiwa akachukua jimbo na mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…