Mondi akipiga show tu moja ya bure, anaweza hata kuwa raisi wa mkoa, wacha kabisa akili za hawa watu.😀Ila kwa vichwa wa watu Morogoro vijijini Tale angepitishwa angeshinda bila hata hizo mambo ya giza
Jimbo linaitwa Morogoro Kusini Mashariki lipo Chini ya Naibu Waziri wa Kilimo Mh Omary Mgumba(CCM) hapati hapo.Ila kwa vichwa wa watu Morogoro vijijini Tale angepitishwa angeshinda bila hata hizo mambo ya giza
Ndo km hiviAtafanya yanasemwa juu yake watu wayaamini sasa
Anaenda kuanguka mkuu!Hakunaga kuanguka kwaajili hiyo.ukiona mtu kaanguka basi hakupiga hesabu zake vyema katika mipango Yake
Kuangusha naibu waziri ni kazi pevu iliyomgharimu mke.Ukoo wa kina tale ni maarufu huko kwa hiyo kushinda siyo ajabu
Ova
mitazamo ya kimasikini enzi hizo za ukoloniKuangusha naibu waziri ni kazi pevu iliyomgharimu mke.
Hata Mungu alimtoa Yesu mwana wake wa pekee ili kutukomboa. Hakuna cha mawazo ya kimaskini. Haya mambo yapo na yameanza enzi na enzi.mitazamo ya kimasikini enzi hizo za ukoloni
Acha ubashiri mbuzi. Yaani mke amefariki kwa hiyo ulitaka maisha yasimame? Mawazo ya kishirikina kama haya taabu tupu.Hata Mungu alimtoa Yesu mwana wake wa pekee ili kutukomboa. Hakuna cha mawazo ya kimaskini. Haya mambo yapo na yameanza enzi na enzi.
Kwa kauli hii naomba Mungu muweza wa yote akuondolee mama yako mzazi kisha na sisi tukufanyie dhiaka upate maumivu yake. InshallahKuangusha naibu waziri ni kazi pevu iliyomgharimu mke.
Anaenda kuanguka mkuu!
Tupo hapa,utaniambia!(kwa ss usiniulize kwann)
Heeeh kashinda talle lolKuangusha naibu waziri ni kazi pevu iliyomgharimu mke.
Umaarufu wa huo ukoo ni kutokana na issue gani?Ukoo wa kina tale ni maarufu huko kwa hiyo kushinda siyo ajabu
Ova