Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

M
Kuna mtu alileta video hapa JF huyo Tale akihojiwa kwenye kipindi cha bar tender amesema umaarufu na sifa yake kuu imetokana na maswala ya uchawi na kuloga, na akasisitiza kuwa hata yeye anapenda hivyo kwasababu yeye ni mswahili.
Dah! Mnahangaika sana nyinyi ndo wale matajiri wote ni wauza unga
 

Mi sijaona shida yoyote ile. Ni machungu kumpoteza mwenza wako hata na binadamu yoyote yule ila mtu akishatangulia mbele ya haki ametangulia tu lazima mipango mengine iendelee. Lazima alikuwa na mipango hiyo muda kwa bahati mbaya mke katangulia yeye lazima atimize ndoto yake
 
Ubunge sio kazi ya kujitafutia kipato. Ni utumishi wa umma au kazi ya wito. Hatutafuti maisha kwa kutumia kazi za wito.
 
Ila kumtoa Abood moro mjini ni shughuli sana na wananchi wanamkubali mno uyo babutale akamuulize afande sele alipata kula ngapi 2015
Mmekazania Moro mjini, anagombea Moro vijijini
 
Huyu jamaa ameshindaje ubunge wakati hata kujieleza tu kwa ufasaha hawezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…