unanshangaza wew ni meneja wa wanamuziki wengi tu kama madee tundaman shaa dogo janja,
inakuwaje diamond peke yake ndio unampromote sana kuanzia ubora wa video show kumtafutia nje mpaka ubalozi wa makampuni mbalimbali inamaana hao,wengne hawana mvuto ama vipi?
hebu rekebisha mnafanya soko liwe la mtu mmoja
Ungekuwa karbu ningekuchapa kwa box la hela. Huu niukwel mtu yani wapo vijana wapo very talented ila masikin mashart magumu diamönd anapakwa rang zote wakati soko lake linapotea.
Kiufupi babtale ni mfanyabiashara anaangalia faida zaidi.Kwanza kabisa kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake..
Pili unatakiwa kutambua kuna wasanii walioajiri mameneja na kuna mameneja wanaowasaidia wasanii..
Diamond amemuajiri babutale, yani Diamond ndio boss wa babutale... Unapomfanya manager wako mwajiriwa unaongeza ile accountability, na unapokuwa bidhaa inayouzika kama Diamond inafanya mambo yawe SUPER ZAIDI...
Diamond kwakuwa ni msanii mkubwa ameajiri mameneja watatu ninaowafahamu mimi Babu tale, Mkubwa fela, Salam, na additional manager Ricardo momo... Kwahiyo babutale ni kijisehemu cha management ya Diamond (Afu pengine Babutale anapata mshiko wa maana kwa Diamond kuliko kwa wasanii wake wengine wote ukizijumuisha kwa pamoja)
Kubwa kuliko yote DIAMOND NI DIAMOND kwelikweli...!!!
Kadma tatizo nyota,waambie wajaribu reliTatizo Nyota Mkuu! Kwan Wewe Unadhan Kati Ya Babutale Na Diamond Anayempa Kiki Mwenzake Nan?
Kwanza kabisa kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake..
Pili unatakiwa kutambua kuna wasanii walioajiri mameneja na kuna mameneja wanaowasaidia wasanii..
Diamond amemuajiri babutale, yani Diamond ndio boss wa babutale... Unapomfanya manager wako mwajiriwa unaongeza ile accountability, na unapokuwa bidhaa inayouzika kama Diamond inafanya mambo yawe SUPER ZAIDI...
Diamond kwakuwa ni msanii mkubwa ameajiri mameneja watatu ninaowafahamu mimi Babu tale, Mkubwa fela, Salam, na additional manager Ricardo momo... Kwahiyo babutale ni kijisehemu cha management ya Diamond (Afu pengine Babutale anapata mshiko wa maana kwa Diamond kuliko kwa wasanii wake wengine wote ukizijumuisha kwa pamoja)
Kubwa kuliko yote DIAMOND NI DIAMOND kwelikweli...!!!
Walitaka dogo janja awe balozi Wa voda????Diamond anauzika zaidi kuliko hao wengine..Na kila siku Babutale anawaambia kuwa yeye ni mfanyabiashara..So anaangalia kwenye faida zaidi..