Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
bure bure?au kamwandikisha kwanza mkataba,akitoka uko awe chini yake?Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa Rehab Bagamoyo.
Pamoja na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na kumpeleka rahab bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua akivuta hii midude.
Mungu ambariki sana huyu jamaa
Wasani wanafiki Sana inapokuja suala LA kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya....Mawazo yangu bhana!!!Et yananambia kwamba "KAZI ZIMESIMAMA SABABU PUNDA WANAUMWA,MWENYE MIPUNDA ANAWAHUDUMIA HADI WATAKAPOPONA ILI KAZI ZIENDELEE KWA UFANISI ZAID"