kwahiyo uchawi diliKwahiyo?
kwahiyo uchawi dili
nasikia huyu boss wa Tip top connection ni mchawi balaa.... huwa anatembea na kibegi chake hivi hakiachi hata awe anaenda wapi..
Jaribu kuchunguza hata wewe.. msanii yoyote atakayeingia tiptop na baadae kujitoa ndo unakuwa mwisho wa career yake, yaaani lazima apotee hata kama atajitahidi vipi.. angalia MB DOGG, PNC, Z ANTO, PINGU, KEISHA na sasa KASSIM ambae ameondoka juzijuzi huyu bado anasikika kiaina ila inasemekana muda c mrefu atachuja.. chunguza
the guy is a good leader, good manager na good promoter... wakiondoka wanakua hawana guidance na sapoti... mziki wa bongo uko corrupt ndio maana siku hizi unamsikia tena J-moe msanii asiye na nyimbo mpya nzuri lakini his alliance na clouds inamnyanyua, same with sele au prof jay...
babu anafanya kazi kwa niaba yao na hayo mavumba yote anamaliza yeye, sasa akina cassim wakitoka wanadhani ni rahisi... its like in soccer, kuna akina teves alfu lela u lela lakini hawana good agents... hebu jiulize mtu kama andy carrol liverpool anauzwa bilioni 70 na akina suarez wanauzwa bilioni arobaili
it music (worldiwde) agents/managers/label and promoters are the game changers and the magic dealers
cassim akirudi leo utaona anaibuka, kwani hata kazi yake inakua na better peer review from the whole tiptop
btw z-anto, mb dogg, cassim sio watu wa kutisha sana but they are good in a certain evnvironment...
unapomuona sugu pale alipo juat amepambana sana sana.... au angalia tu mtu kama necha (kuibuka kwake na kuzama kunategemea sana nani yupo nyuma yake
ila kiukweli bab tale anakamtandao na redio ya wafu maana kila msanii anayejichomoa hata kama ni mkal vp lazma kwenye gam apotee.na mchango mkubwa wa kumpoteza hufanywa na hiyo redio
wala si uchawi mkuu,kuna ka mtandao wametengeneza hawa wanyonyaji stelingi wao Ruge!
the guy is a good leader, good manager na good promoter... Wakiondoka wanakua hawana guidance na sapoti... Mziki wa bongo uko corrupt ndio maana siku hizi unamsikia tena j-moe msanii asiye na nyimbo mpya nzuri lakini his alliance na clouds inamnyanyua, same with sele au prof jay...
Babu anafanya kazi kwa niaba yao na hayo mavumba yote anamaliza yeye, sasa akina cassim wakitoka wanadhani ni rahisi... Its like in soccer, kuna akina teves alfu lela u lela lakini hawana good agents... Hebu jiulize mtu kama andy carrol liverpool anauzwa bilioni 70 na akina suarez wanauzwa bilioni arobaili
it music (worldiwde) agents/managers/label and promoters are the game changers and the magic dealers
cassim akirudi leo utaona anaibuka, kwani hata kazi yake inakua na better peer review from the whole tiptop
btw z-anto, mb dogg, cassim sio watu wa kutisha sana but they are good in a certain evnvironment...
Unapomuona sugu pale alipo juat amepambana sana sana.... Au angalia tu mtu kama necha (kuibuka kwake na kuzama kunategemea sana nani yupo nyuma yake
Nasikia huyu boss wa Tip top connection ni mchawi balaa.... huwa anatembea na kibegi chake hivi hakiachi hata awe anaenda wapi..
Jaribu kuchunguza hata wewe.. msanii yeyote atakayeingia tiptop na baadae kujitoa ndo unakuwa mwisho wa career yake, yaani lazima apotee hata kama atajitahidi vipi.. angalia MB DOGG, PNC, Z ANTO, PINGU, KEISHA na sasa KASSIM ambae ameondoka juzijuzi huyu bado anasikika kiaina ila inasemekana muda c mrefu atachuja.. chunguza