Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshindwa Ku upload iyo linkMkuu,waweza weka link ili niicheki?
Mkuu,waweza weka link ili niicheki?
Isikilize apo juu mkuu nishaiwekaNgoma yenyewe mbona hujaiweka?
-Nyerere-
Yaan unajisifia kabisa unasema unakuja hiphop halaf unajuja kusema kuna hiphop ngumu?what a shame dudeHahaha...Unajipigia promo au[emoji12] (joke)
Btw, kwa tunaojua hiphop hiyo instrumental na beat ni ya HipHop ngumu....refer kwny ngoma za Lost Boys na Death row za zamani.
Hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kupenda ngoma za Watengwa wa Arusha ama za JCB Makala au chindo man walizosimama wenyewe, na hata ya Fid Q zile zote za kwanza.
Kinachofanya hapo uiite hiphop commercial au soft hiphop ni matamshi tu wa maneno na maneno yenyewe.
Hapo ukiweka beats kama za joh Makini basi ndio itaitwa pure Commercial Hiphop.
Umenisoma?
Dada yangu HipHop ngumu au halisi ni ile ya Arusha by Watengwa guys na ya Fid Q kwa Tanzania hiiYaan unajisifia kabisa unasema unajua hiphop halaf unajuja kusema kuna hiphop ngumu?what a shame dude
Hiphop is hiphop not laini au ngumu,umesimama juu ya misingi that defines hiphop not otherwise
Hzo zingine ni jokes tu
Mnajifunza hiphop kupitia clouds FM halaf mnakuja kujifanya mnajua hiphop shame on u
[emoji107]Yaan unajisifia kabisa unasema unakuja hiphop halaf unajuja kusema kuna hiphop ngumu?what a shame dude
Hiphop is hiphop not laini au ngumu,umesimama juu ya misingi that defines hiphop not otherwise
Hzo zingine ni jokes tu
Mnajifunza hiphop kupitia clouds FM halaf mnakuja kujifanya mnajua hiphop shame on u
Job making doesn't do hiphop he is just a rapper like sheka ,drake o mik mill
Kama hujui acha kupotosha sio kutuletea ujinga wenu was clouds huo eti commercial hiphop shame on u mazafanta!
Hivi kuna kundi linaitwa watengw bongo hiiDada yangu HipHop ngumu au halisi ni ile ya Arusha by Watengwa guys na ya Fid Q kwa Tanzania hii
HipHop mnayoita HipHop wanadaslam sio Halisi ila ni RnB na taarab yenye background beat ya HipHop.
SAWA?
Ni sawa na kusema Sweet Reggae Music ni Reggae halisi kama ya Culture, Peter Tosh au Bob Marley.
SAWA?
Kubali au kataa...najua utakataa kwakuwa una spirit ya watoto wa Dsm
Sio Watengw ni Watengwa, hili kundi halipo Bongo hii lipo Arusha.Hivi kuna kundi linaitwa watengw bongo hii
Mbona unajipigia promo kwny wimbo wa mwingne anzisha na ww uzi wako ujipigie promo cyo kukandia kazi za wngneSio Watengw ni Watengwa, hili kundi halipo Bongo hii lipo Arusha.
Uhuru wa kutoa mawazo na maoni. Acha kumkandamiza jamaa utadhan chama tawalaMbona unajipigia promo kwny wimbo wa mwingne anzisha na ww uzi wako ujipigie promo cyo kukandia kazi za wngne
Nimejipigia promo kwenye wimbo upi wa mwingine?Mbona unajipigia promo kwny wimbo wa mwingne anzisha na ww uzi wako ujipigie promo cyo kukandia kazi za wngne
Clouds wanapotosha sana watuYaan unajisifia kabisa unasema unakuja hiphop halaf unajuja kusema kuna hiphop ngumu?what a shame dude
Hiphop is hiphop not laini au ngumu,umesimama juu ya misingi that defines hiphop not otherwise
Hzo zingine ni jokes tu
Mnajifunza hiphop kupitia clouds FM halaf mnakuja kujifanya mnajua hiphop shame on u
Job making doesn't do hiphop he is just a rapper like sheka ,drake o mik mill
Kama hujui acha kupotosha sio kutuletea ujinga wenu was clouds huo eti commercial hiphop shame on u mazafanta!
WatengwaDada yangu HipHop ngumu au halisi ni ile ya Arusha by Watengwa guys na ya Fid Q kwa Tanzania hii