Babu talent ni ngoma Kali sana

Hahaha...Unajipigia promo au[emoji12] (joke)

Btw, kwa tunaojua hiphop hiyo instrumental na beat ni ya HipHop ngumu....refer kwny ngoma za Lost Boys na Death row za zamani.

Hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kupenda ngoma za Watengwa wa Arusha ama za JCB Makala au chindo man walizosimama wenyewe, na hata ya Fid Q zile zote za kwanza.

Kinachofanya hapo uiite hiphop commercial au soft hiphop ni matamshi tu wa maneno na maneno yenyewe.

Hapo ukiweka beats kama za joh Makini basi ndio itaitwa pure Commercial Hiphop.

Umenisoma?
 
Yaan unajisifia kabisa unasema unakuja hiphop halaf unajuja kusema kuna hiphop ngumu?what a shame dude
Hiphop is hiphop not laini au ngumu,umesimama juu ya misingi that defines hiphop not otherwise
Hzo zingine ni jokes tu
Mnajifunza hiphop kupitia clouds FM halaf mnakuja kujifanya mnajua hiphop shame on u
Job making doesn't do hiphop he is just a rapper like sheka ,drake o mik mill
Kama hujui acha kupotosha sio kutuletea ujinga wenu was clouds huo eti commercial hiphop shame on u mazafanta!
 
Dada yangu HipHop ngumu au halisi ni ile ya Arusha by Watengwa guys na ya Fid Q kwa Tanzania hii

HipHop mnayoita HipHop wanadaslam sio Halisi ila ni RnB na taarab yenye background beat ya HipHop.

SAWA?

Ni sawa na kusema Sweet Reggae Music ni Reggae halisi kama ya Culture, Peter Tosh au Bob Marley.

SAWA?

Kubali au kataa...najua utakataa kwakuwa una spirit ya watoto wa Dsm
 
[emoji107]
 
Hivi kuna kundi linaitwa watengw bongo hii
 
tatizo nikki hawezi flow bila kumtaja star yoyote hii ndio inanifanya nimpotezee anajishushia hadhi mshikaji
 
Nyimbo kazi hizi ndo maana wakiandaa matamasha waudhuriaji ni wachache watakuwa kila siku wanalalamika wanabaniwa
Hivi wadada na wamama utawapeleka au wataenda kwenye tamasha lako wakasikileze ngoma kama hizi?
Wacha wakina alikiba, diamond na christian bella waendelee kuwaburuza
 
Clouds wanapotosha sana watu
 
Watengwa
fid Q
Nash mc
salu Tee
Kad Go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…