Babu talent ni ngoma Kali sana

Freestyle battle unajua

Unajua Babu Tale na Mziki wa Tanzania

Unajua Kwanini Nikki alitoa diss track kwa Ney
Huo ndo ujinga sasa, kuamini Babutale anaweza kukupoteza kimziki, mtu asiyekuwa hata na Redio
 
Kwa hao jamaa wa Tamaduni Muziki mimi namuelewa Songa tu hana kulalamika lalamika kama mtoto wa kike....

Wao washaamua kufanya underground Hip hop ambayo haitegemi kabisa kuwa kwenye Mainstream sasa lawama za nini?

Hata leo hii ukienda America ulipotoka huo mziki Wakina Drake,Meek Mill,Future ndio wanatamba kwenye Mainstream na sio wakina Common,Talik Kweli au The game muda mwingine hawa watoto wa Tamaduni waache lawama lawama hii ndio inawapotezea mashabiki na kuwafanya waonekane wahuni wahuni

Fanya mziki wako ishi maisha yako maana aina ya mziki anaofanya autegemei Mainstream hizo ni harakati ambazo haziitaji pesa.

Akiona huko hakuna maslahi abadilike kama Joh Makini na wadogo zake wa Weusi na sio kulalamika lalamika tu mara Ney WA Mitego mara babu talent Ujinga Ujinga mtupu.

Mwanzo alikuwa anaenda fresh tu nyimbo kama Play boy au Kila siku aliyofanya na Godzillah na Belle 9 zilikuwa ngoma tamu tu na zilipata nafasi kwenye Mainstream akalewa sifa na kutuletea nyimbo za majungu majungu na kuweka bifu za kitoto mpaka raia wakamchoka na kumuona muhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…