MUST mbeya siomhhh huyu nick nmesoma naye chuo anajiamin sana
yap must mbeyaMUST mbeya sio
Sasa mbona huyu analalamika Babu Tale Kama anachofanya kinamlipa fresh tu?Ukiona umesoma kitabu na ujakielewa ujue ujaandikiwa ww,,, so hata hip hop bongo inalipa fresh na inamashabiki wake wanaoipenda na wanapiga mawe fresh tu.
Umeisikiliza lkn iyo ngoma au unabwabwata tuSasa mbona huyu analalamika Babu Tale Kama anachofanya kinamlipa fresh tu?
Nimeisoma kabla haya ajaifanyia beat....so naijua vizuri.Umeisikiliza lkn iyo ngoma au unabwabwata tu