babu wa kikombe aibukia mbagala

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
jamani kuna mtu mwingine ameibukia maeneo ya mbagala kimbugi na kudai ameoteshwa ili aweze kutibu magonjwa sugu ikiwemo ukimwi.tiba hii imekuwa tofauti na ile ya loliondo kwa kuwa ghalama yake ni sh.100 na hutolewa kwa watoto na watu wazima.habari za kina kutoka kwa majirani wa mtu huyu ni kwamba alikowa bangi m2 na alikuwa konda wa daladala.pia ye anadai ni zaidi ya babu mbagala. na watu wameanza kunywa dozi.
 


Mods peleka huu uchafu jukwaa husika..........watu tunafikiria mambo ya msingi sasa wewe unaleta mzaha hapa...kwanza umepost kwenye jukwaa lisilo lake...peleka kwenye JF doctor...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…