Babu Wa Loliondo Alikuwa Mgonjwa Wa Akili

sasa kama tabibu alikuwa na matatizo ya kiakili je wagonjwa wake walikuwa na matatizo yapi?Nalog off
 
title ya hii thread na contents tofauti,nilitegemea mngetupa maelezo ya kitaalam,ugonjwa wa akili wa babu,unaitwaje na diagnosis ikoje badala yake kumejaaa lawama tu,babu hakuita mtu mlienda wenyewe kwa hiari yenu.
 
Mimi nadhani shehe Yahya ndie alikuwa mgonjwa wa akili pamoja na JK aliekuwa anamlinda.

Heeee!mbona havina uhusiano wowote...kwani nae alikua anatibu magonjwa yote kwa kunywesha watu dawa once?
 


The whole thing was a stratagem - a scheme propagated by the government to avert public "esprit de corps" that was present towards the anticipated social revolution "thought" to be prompted by CHADEMA.
 
hahahaha kama huyu babu ana matatizo ya akili waliopanga foleni kupata kikombe je?

Waliotoa magari ya kusomba dawa?

Waliokodi helicopta? Kwenda kupata kikombe?

Waliopanga foleni kungojea kikombe?
 
Viliibuka vikombe Tabora, Mbeya, Mtwara, singida, na Rombo kwa Mramba..sijui ila na mimi nilienda japo nilipeleka tim ya watu...it was Nite mare...
 
Babu wa Loliondo ni muhuni na tapeli, kawatapeli watu wengi sana, eti anatibu magonjwa yote huu si uhuni..

Sasa hivi anakula bata tu
Muhuni hufuata watu na kuwatapeli Babu hakuwahi fuata mtu pengine watu ndio walijihunisha wenyewe.. na Kwa Taarifa yako Bado anaendelea na Tiba... Nabii hakubaliki Nyumbani Kwake..

Ngoja uje kuugua ndio Utajua kama ni Muhuni au Lah.... Siombei Ugonjwa... My Nephew amepona Asthma
 
13th March 2011 22:30

Tupo tunakusanya nauli tukufuate. Mganga hajigangi, nyimbo za mzee wa upako vipi? Mi hata ningesikia sauti ya babu kwenye radio najua ndo nimepona kabisa. Mungu awabariki wote mnaoamini.

Imani imeishia wapi? ulipona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…