Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Kutokana na kutangaza kuwa Mchungaji Mwasapile wa Loliondo amekusanya shilingi milion 50, hivyo ametibu wagonjwa laki tano. Hii inaweza kuwa record ya ajabu ya tabibu kutibu watu wengi zaidi kwa kipindi kifupi katika historia ya dunia.
<br />hapana ni wagonjwa laki moja mkuu.
hapana ni wagonjwa laki moja mkuu.
Kutokana na kutangaza kuwa Mchungaji Mwasapile wa Loliondo amekusanya shilingi milion 50, hivyo ametibu wagonjwa laki tano. Hii inaweza kuwa record ya ajabu ya tabibu kutibu watu wengi zaidi kwa kipindi kifupi katika historia ya dunia.
Uuwiiiiii!! Ama kweli Hesabu ni janga la ki-Taifa! Yaani 500,000 X 500 unapata Milioni 50? Hata hivyo huyu babu analipa kodi kweli? Huyu anapaswa kutozwa kodi, au TRA hamjaliona hilo?