Babu wa loliondo apigwa risasi 3 na kufariki dunia!!!

Kajuni

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Posts
483
Reaction score
186
Breaking news Babu wa loliondo amefariki dunia baada ya kupigwa risasi tatu na ndugu wa mgonjwa mmoja! sababu za kumpiga risasis hasijafahamika lakini jamaa anashikiliwa na polisi. Tetesi zinasema ni mambo ya kisiasa!!
 
mkuu april fool huwa inaisha saa nne kamili! we naona umepost saa tano kasoro angalia usipate:ban:
 
Haaaaaa sawa sawa mkuuu
 
Hata iwe April Fool inadumu saa 24, hakuna haki ya kutania na maisha ya mtu.
 
JINGA WEWE MWENYEWE NA HUNA MAADILI,HAIWEZEKANI UZUNGUMZIE UHAI WA MTU ETI KWA SABABU NI SIKU YA WAJINGA??MAISHA YA MTU UNALETE UTANI WA UJINGA KWAYO SASA WEWE NA JK MNATOFAUTIANA NINI MAANA NA YEYE KWENYE MAMBO YA MAISHA YA WATZ ANACHEKA NA KUINGIZA MASHAIRI YA TAARABU

wewe na jk wote mavi kunuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…