Mjukuu wa kigogo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2023 Posts 445 Reaction score 1,094 Sep 25, 2023 #1 Enzi hizo spinning doctor ilifanikiwa sana Kwa kiasi kikubwa tofauti na leo. Ndio maana Dowans Scandal ilikufa kifo cha mende. Swali je, kwa sasa spinning kupoteza nguvu ni uelewa kwa sasa kuwa mkubwa kwa watu au elimu inatolewa ipasavyo.
Enzi hizo spinning doctor ilifanikiwa sana Kwa kiasi kikubwa tofauti na leo. Ndio maana Dowans Scandal ilikufa kifo cha mende. Swali je, kwa sasa spinning kupoteza nguvu ni uelewa kwa sasa kuwa mkubwa kwa watu au elimu inatolewa ipasavyo.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Sep 25, 2023 #2 CCM wakiona Kuna jambo la maana mnajadili, wanaleta mizaha. Unamkumbuka "rama mla watu"?
Mjukuu wa kigogo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2023 Posts 445 Reaction score 1,094 Sep 25, 2023 Thread starter #3 Allen Kilewella said: CCM wakiona Kuna jambo la maana mnajadili, wanaleta mizaha. Unamkumbuka "rama mla watu"? Click to expand... Haaahaaa
Allen Kilewella said: CCM wakiona Kuna jambo la maana mnajadili, wanaleta mizaha. Unamkumbuka "rama mla watu"? Click to expand... Haaahaaa
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Sep 25, 2023 #4 Alifanya maokoto ya 500m kwa mwezi kutoka kwa watz wajinga then.... akasepa zake kenya😃😃 jokes
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Sep 25, 2023 #5 Mwamba huyo hapo