Babu wa samonge apewe nishani ya heshima.

butogwa

Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
33
Reaction score
6
Hi wana JF! Kama ilivyo desturi yetu watanzania huwa hatuachi kupongezana hasa pale panapoonekana kuna jambo zuri limefanyika. Wengi mtakubaliana na mimi kuwa babu ni mjasiliamali alieibadilisha samonge na kuitangaza loliondo duniani kwa muda mfupi,babu amesababisha kushughulikiwa huduma muhimu kijamii kama vile umeme,maji,huduma za afya, mawasiliano na barabara. Ni vema wajasiliamali tuwe wabunifu kwa kuiga mfano wa babu ili tuharakishe maendeleo ktk maeneo yetu.
 
Nishani aliyopewa hapo ni hipi? Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…