Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Si alishasema kikombe chake unatakiwa kunywa mara moja tu? Huyu babu vipi? Mbona kigeu geu sana?
Babu wa Sumange amewaasa waliokunywa dawa na bado hawapona basi warudi Sumange wanywe tena kikombe.Ameelezea kuwa yeye sio mganga wa kienyeje hivyo imani ni muhimu sana.
Source ;
EA-Radio (anahojiwa muda huu na Michael B & Zembwele -Bado mahojiano yanaendeleo)
walikufa maeneo ya wapi mbona huku niliko wote walioenda huko wanakula sembe kwa kwenda mbele. Tutajieni maeneo ktk TZ, tuje tufanye utafiti kwanini wa upande huo wafe na wa huku niliko wawe hai. Maana kila siku nasikia walienda huko wamekufa na nilipata pia kumsikia mhubiri mmoja akisema kuwa kuna kijiji kilfutika baada ya kupata kikombe wapi hasemi ila kushusha laana tu madhabahuni as if he is right. TAJAJENI maeneo and are you sure kuwa cause ya death zao ni kikombe tuache upotoshajina waliokufa atasemaje.
Watanzania walinisikitisha sana walipoenda kwa maelfu kwa tapeli huyu.
Wanaotutukana wakati mwingine wana haki kabisa.
OTIS The Illuminati.