Babu wa Sumange amewaasa waliokunywa dawa na bado hawapona basi warudi Sumange wanywe tena kikombe.Ameelezea kuwa yeye sio mganga wa kienyeje hivyo imani ni muhimu sana.
Source ;
EA-Radio (anahojiwa muda huu na Michael B & Zembwele -Bado mahojiano yanaendeleo)
Si alishasema kikombe chake unatakiwa kunywa mara moja tu? Huyu babu vipi? Mbona kigeu geu sana?
Keshajipatia zake utajiri wa uzeeni atulie sasa asijetibua hasira za watu
hapo ss, sijui nao atawafufua kwa iman lol.na waliokufa atasemaje.
huyu babu jambazi sugu bado anaendelea kuwakosea adabu watanzania?au ameshatuonelea eh kwamba sisi mabwege sio?hivi ni nani amewahi kutibiwa kwa imani?nikakute mahakamani hako kazee.
Hebu rekebisha taito yako ieleweke.
Si alishasema kikombe chake unatakiwa kunywa mara moja tu? Huyu babu vipi? Mbona kigeu geu sana?
Mmejaribisha mkaona kikirudiwa hakifanyi kazi?
Jamani, kuna waliopona ati!
Imani inafanya kazi!
BABU ajifunze kwa MR NICE au SAIDA KALORI!!!!.....kipindi cha kuvuma kikipita ndo kimepita!kama anataka kumaintain jina aingie kwenye BONGO MOVIE
anakera kweli wewe umenena vyema