Babu yangu alipambana vita ya iddi amini Uganda, alichukuliwa kama mgambo ila mpaka amefariki Dunia hajapewa mafao Yake

Babu yangu alipambana vita ya iddi amini Uganda, alichukuliwa kama mgambo ila mpaka amefariki Dunia hajapewa mafao Yake

Nasikia kila mwaka Museveni huwa anatuma fungu kwa Tanzania kwa wanajeshi waliomung'oa Nduli. Ila viongozi wa juu ndiyo wanakulaga hilo fungu.
 
Inaumiza sana, mtu amepigana lakini walafi wachache wanawadhulumu hii sio haki kabisa, serikali ya machawa haina huruma kabisa.
 
Hao ni chambo vitani huwa wanatangulizwa mbele aliwezaje kutoboa hai? Au alikaba chaka la upishi?
 
Back
Top Bottom