K Kifulu JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 557 Reaction score 2,064 Jan 25, 2025 #1 Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari
Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 25, 2025 #2 Pole sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Jan 25, 2025 #3 Poleni sana
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Jan 25, 2025 #4 Mtupori_Tz said: Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari Click to expand... Pole mkuu Serikali haijawahi kuwa ya haki kwenye jambo lolote
Mtupori_Tz said: Hii inaniuma sana Mara kadhaa alikuwa anaenda kwa mkuu wa wilaya kufatilia pesa zake ila alikuwa anapigwa tarehe.. Shujaa huyu pesa zake zimaliwa na Vigogo wachache Uuzi tayari Click to expand... Pole mkuu Serikali haijawahi kuwa ya haki kwenye jambo lolote
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 25, 2025 #5 Inasikitisha sana
O Omukisa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 642 Reaction score 1,305 Jan 25, 2025 #6 Nasikia kila mwaka Museveni huwa anatuma fungu kwa Tanzania kwa wanajeshi waliomung'oa Nduli. Ila viongozi wa juu ndiyo wanakulaga hilo fungu.
Nasikia kila mwaka Museveni huwa anatuma fungu kwa Tanzania kwa wanajeshi waliomung'oa Nduli. Ila viongozi wa juu ndiyo wanakulaga hilo fungu.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jan 25, 2025 #7 Inaumiza sana, mtu amepigana lakini walafi wachache wanawadhulumu hii sio haki kabisa, serikali ya machawa haina huruma kabisa.
Inaumiza sana, mtu amepigana lakini walafi wachache wanawadhulumu hii sio haki kabisa, serikali ya machawa haina huruma kabisa.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Jan 25, 2025 #8 Hao ni chambo vitani huwa wanatangulizwa mbele aliwezaje kutoboa hai? Au alikaba chaka la upishi?