Babu yetu Tambitambi ameongeza mke wa nne jana

hahahaaa, vinyanya.

tena huyo mtoto anavofurahia hapo inaonekana anavitendea haki.
Mabinti wenyewe hawa, hawakosi, vikarafuu, vipipi kifua, mara wapake asali.. sasa hapo akili ya kupaka rangi nyumba anaitolea wapi..
Na wake wa4 ni mwendo wa mashindano tu..
Acheni mzee avute kwa burudani pumzi zake za mwisho 😂
 
Halafu binti anaonekana amemuelewa sana jamaa! Wanawake wanne! MashaAllah, hapo ukichepuka lazima upimwe mkojo.

By the way, huyo Tambitambi ni nani huko mjini?
 
Kuhudumia ngoma nne si mchezo; wale washibe, wavae wapendeze, wapate matibabu n.k, hapo mwanaume lazima ukongoroke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…