SumadaVinci
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 161
- 328
😅😅😅Ngoja nisukutue kwanza
Ubabe tu.ukichunguza kwa makini utaona wazee wote waliokuwa na wanawake zaidi ya mmoja walikuwa wababe sana.i wonder what kind of JUJU ,our grandfather's used to marry over five wives ....and live a peacful life.
Nowdays only one wife and a SIDE chick and you will have no peace.🙆♂️🙆♂️😅
This craz made my daybabu bwana ktk umri wa miaka 27 anawanawake wa4 na watoto 9 ktk ndoa ,baba ktk umri huo huo anawanawake wa2 na watoto 4 kt ndoa ,MIMI MWANAE umri huo huo bado natafuta maisha na sina mpango wa kuoa.
Maisha yalikua hayahitaji Mambo mengi Kama Sasa hv, leo mkeo anaweza kukuliza kisa jirani ana ndinga wewe unaminyana na konda asubuhi kwenda job.
Akipewa lift mara kadhaa na Kama jirani hana wema na wewe Basi stori utaikuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, zamani inshu kubwa ilikua ale alale umnunulie vitu vidogovidogo bac hakuna Mambo mengi Kama Sasa ya kua na nyumba Kali na ndinga ya maana mkuu.
Unyagoni nao kule walikua wanapewa pindi atari wakitoka wanajua kua kazi kubwa Ni kuhudumia mume na sio kingine, ukiongeza na FGM alikua mkombozi kweli maana walikua wanaishi Kama hawapo tu wanaona mume akiridhika ndio basi, lakini now days wakitembea vikisuguana na pichu tu alafu huduma yako ikiwa zero umeisha lazima atakua punda wa mtaa Kila mtu anampanda.
Ndio hvyo mkuu, kikubwa tuishi nao tu kwa akili!![emoji23]Aisee jomba umesema kweli
Hahahaàa we jamaa imemfurahisha,eti Kama jirani Hana wema naww basi utakuta nyuzi jukwaani....Ila ni ukweli mtupuMaisha yalikua hayahitaji Mambo mengi Kama Sasa hv, leo mkeo anaweza kukuliza kisa jirani ana ndinga wewe unaminyana na konda asubuhi kwenda job.
Akipewa lift mara kadhaa na Kama jirani hana wema na wewe Basi stori utaikuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, zamani inshu kubwa ilikua ale alale umnunulie vitu vidogovidogo bac hakuna Mambo mengi Kama Sasa ya kua na nyumba Kali na ndinga ya maana mkuu.
Unyagoni nao kule walikua wanapewa pindi atari wakitoka wanajua kua kazi kubwa Ni kuhudumia mume na sio kingine, ukiongeza na FGM alikua mkombozi kweli maana walikua wanaishi Kama hawapo tu wanaona mume akiridhika ndio basi, lakini now days wakitembea vikisuguana na pichu tu alafu huduma yako ikiwa zero umeisha lazima atakua punda wa mtaa Kila mtu anampanda.
Wanawake wa zamani wengi walikuwa tegemezi hawa wa sasa wengi wanakazi na ni wajuzi sana wa mambo and wanahitaji 50/50 .I wonder what kind of JUJU ,our grandfather's used to marry over five wives and live a peacful life.
Nowdays only one wife and a SIDE chick and you will have no peace.[emoji2297][emoji2297][emoji28]
[emoji23] Watu sio wema mzee utasikia, Kuna mke wa jirani angu anataka mtoto na mm, kidume unasapoti kumbe Moto unawakia nyumbani kwako!Hahahaàa we jamaa imemfurahisha,eti Kama jirani Hana wema naww basi utakuta nyuzi jukwaani....Ila ni ukweli mtupu
Ni kweli kiongozi...yaan hawa viumbe ukiwaza Sana unaweza ukaishia kuishi na watoto wako Tu. Jana nilitoka DSM nikatulia bmoyo kdg,kwakua nilifika mida ya saa moja ucku ikabd nichukue rum mahali nikaona nitafute sehem nichambe koo kdg na tibia tuwili tutatu...nikaelekezwa sehm panaitwa dunda dunda kufika kuna live band nikaanza kukata maji...pemben kuna mdada mzr Tu. Nikaona bia anailamba wkt anaonekana mwenye kiu,ikabd nimtembezee bia..Kama ujuavyo shetani hakai nyumbani Bali maeneo pendwa nikamjaribu kua Nimefikia lodge flani Kama hutojali baadae ukanipe kampan akasita kdg halafu akajibu co tatzo Sana Ila sitalala maana ni mke wa mtu..nikasema Acha nionje ladha za bmoyo.nikamchakaaaata anaamsha Kwa mumewe na wakati naichangua mumewe alikua anapiga cm balaa.hawa viumbe hawa!!!!!!!!¡![emoji23] Watu sio wema mzee utasikia, Kuna mke wa jirani angu anataka mtoto na mm, kidume unasapoti kumbe Moto unawakia nyumbani kwako!
Mkuu hawa viumbe tunaishi nao ila sio wenzetu Yani cjui nn kinawaponza, ukimtangulizia mkwanja mbele hata Kama na yeye anao atajichanganya tu![emoji23]Ni kweli kiongozi...yaan hawa viumbe ukiwaza Sana unaweza ukaishia kuishi na watoto wako Tu. Jana nilitoka DSM nikatulia bmoyo kdg,kwakua nilifika mida ya saa moja ucku ikabd nichukue rum mahali nikaona nitafute sehem nichambe koo kdg na tibia tuwili tutatu...nikaelekezwa sehm panaitwa dunda dunda kufika kuna live band nikaanza kukata maji...pemben kuna mdada mzr Tu. Nikaona bia anailamba wkt anaonekana mwenye kiu,ikabd nimtembezee bia..Kama ujuavyo shetani hakai nyumbani Bali maeneo pendwa nikamjaribu kua Nimefikia lodge flani Kama hutojali baadae ukanipe kampan akasita kdg halafu akajibu co tatzo Sana Ila sitalala maana ni mke wa mtu..nikasema Acha nionje ladha za bmoyo.nikamchakaaaata anaamsha Kwa mumewe na wakati naichangua mumewe alikua anapiga cm balaa.hawa viumbe hawa!!!!!!!!¡!