Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Babuu wa kitaa,Eti babuu wa kitaaa!!!!!!!
Hana utoto wa kigogo wowote..ila anajua kujichanganya na wazito...pia kuwa jirani nao (mikocheni ya kiswazi) imesaidia..kaachia shule kitambo (form 2) na kuendelea kuuza bangiTatizo watu wanaropoka wasivyovijua...huyu hata asipofanya kazi ni mtt wa kigogo kiufupi huyu na kina ridhiwani ni baba mmoja mama tofauti hivyo pesa mingi..kuwa clouds ni bosheni tu by the way mwenyezi mungu amponye cancer mwanetu.
Sosa kauza bangi???dah bob uyu jamaa bi mkubwa wake alikuwa na kitengo kitambo sana kiufupi ni wakishua na kuhusu ishu ya kuwa moja ya kids wa jk ndio iko ivyo kubali kataa..ukaribu wake na familia ya jk sio ushkaji tu ni undugu.Hana utoto wa kigogo wowote..ila anajua kujichanganya na wazito...pia kuwa jirani nao (mikocheni ya kiswazi) imesaidia..kaachia shule kitambo (form 2) na kuendelea kuuza bangi
Sijajua umri wako ila kwa sisi agemates wake tunamjua Saiduuu (kabla hajajiita Babuu wa kitaa) ni msela tu ila ujanja mwingii....shule hapendi kabisa labda kama alienda kujiendeleza kwenye fani ya habari.Sosa kauza bangi???dah bob uyu jamaa bi mkubwa wake alikuwa na kitengo kitambo sana kiufupi ni wakishua na kuhusu ishu ya kuwa moja ya kids wa jk ndio iko ivyo kubali kataa..ukaribu wake na familia ya jk sio ushkaji tu ni undugu.
Sijajua umri wako ila kwa sisi agemates wake tunamjua Saiduuu (kabla hajajiita Babuu wa kitaa) ni msela tu ila ujanja mwingii....shule hapendi kabisa labda kama alienda kujiendeleza kwenye fani ya habari.
Uhuni ni kawaida mbona kina miraji walikuwa wahuni tu na ni wakishua ila daily wapo maskani na kina babuu kina ngwea kina langa, hilo sio swala jamaa Kasoma UCT capetown mambo ya media sijui unajua ada ya pale kaka..jamaa anajichanganya sana huwezi kumjua mimi nimekaa na cousin wake jozi ndio alienipa huo mkanda. Lini umemuona akiwa na maisha mabovu? Hata now anaumwa lkn kwake fresh na anapush ndinga kali, angekuwa hoehae matibabu ya cancer yangemtoa kwenye reli. Anyways sio ishu yakubishania bwana hayo maisha ya watuSijajua umri wako ila kwa sisi agemates wake tunamjua Saiduuu (kabla hajajiita Babuu wa kitaa) ni msela tu ila ujanja mwingii....shule hapendi kabisa labda kama alienda kujiendeleza kwenye fani ya habari.
Haina kwere hayo mambo ya ndani ya kifamilia...humu jf wengi hatutaki kujulikana...la sivyo ningekupa details... in short tulikuwa tunahang mara moja moja kwao saiduu..labda yule mdingi mjeda (dingi alikuwa mtu wa story sana ila anatukana sana [emoji38]) miaka ya 2001 alikuwa mlezi tuUhuni ni kawaida mbona kina miraji walikuwa wahuni tu na ni wakishua ila daily wapo maskani na kina babuu kina ngwea kina langa, hilo sio swala jamaa Kasoma UCT capetown mambo ya media sijui unajua ada ya pale kaka..jamaa anajichanganya sana huwezi kumjua mimi nimekaa na cousin wake jozi ndio alienipa huo mkanda. Lini umemuona akiwa na maisha mabovu? Hata now anaumwa lkn kwake fresh na anapush ndinga kali, angekuwa hoehae matibabu ya cancer yangemtoa kwenye reli. Anyways sio ishu yakubishania bwana hayo maisha ya watu
Mark X ndio ndinga kali?[emoji56]Uhuni ni kawaida mbona kina miraji walikuwa wahuni tu na ni wakishua ila daily wapo maskani na kina babuu kina ngwea kina langa, hilo sio swala jamaa Kasoma UCT capetown mambo ya media sijui unajua ada ya pale kaka..jamaa anajichanganya sana huwezi kumjua mimi nimekaa na cousin wake jozi ndio alienipa huo mkanda. Lini umemuona akiwa na maisha mabovu? Hata now anaumwa lkn kwake fresh na anapush ndinga kali, angekuwa hoehae matibabu ya cancer yangemtoa kwenye reli. Anyways sio ishu yakubishania bwana hayo maisha ya watu
Toka nduki we kimbiaKimbia fasta....
Ukianguka ukiumia inuka vumiliaToka nduki we kimbia
Hao mademu wana muonekano wa Chuga.huyo mwanaume ndio babuu wa kitaa... tafadhali mwenye profile yake tunaomba amwwagike hapa.... nasikia jamaa analamba mshiko mkubwa sana hapo TV station ya watu na ndio inayompa kiburi... kuna mtu ana data atupe?
"Babuu na Miraji Kikwete kiama mnataka nikilete ,niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete?" - Kalapina Beef 2007Sosa kauza bangi???dah bob uyu jamaa bi mkubwa wake alikuwa na kitengo kitambo sana kiufupi ni wakishua na kuhusu ishu ya kuwa moja ya kids wa jk ndio iko ivyo kubali kataa..ukaribu wake na familia ya jk sio ushkaji tu ni undugu.
"Wao wakimwaga ugali nasi tunamwaga mboga roho ngumu siyo uoga Amani kwa Kaka Voda" - Babuu - KIMBIAToka nduki we kimbia